ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

TANESCO YAAGIZWA KUKAMILISHA MIUNDO MBINU YA KUSAMBAZA UMEME JIJINI DAR ILI KUPUNGUZA TATIZO LA UMEME Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu

Thursday, December 24, 2015



Serikali imeliagiza Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kukamilisha mradi wa kukuza miundo mbinu ya kusafirisha umeme  unaosimamiwa na Kampuni ya kutengeneza vipozeo(Transformer) ya Italy (SAE) ili kusaidia upatikanaji wa umeme wa uhakika. Agizo hilo limetolewa leo jijini Dar es salaam na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medard Kaleman katika ziara yake ya kutembelea mradi huo katika vituo vya Mbagala, Kurasini , Gongo la Mboto na kipawa. Amesema kuwa ni vema hadi kufikia Februari mwakani Tanesco wawe wamekamilisha mradi huo na wananchi waweze kupatiwa huduma ya umeme haraka iwezekanavyo. Aidha Dkt. Kalemani aliagiza kuwa kutokana na kesi ya fidia  ya wananchi wote ambao wameondolewa kwenye maeneo yao ili kupisha mradi huo  ni vema wawe wamelipwa kufika Januari 2016. Akitoa maelezo kwa Naibu Waziri huyo ,Meneja Mradi wa Tanesco Mhandisi Frank Mashalo amesema kuwa kulingana na mkataba walioingia na Kampuni ya SAE mradi huo ulipaswa kukamilika kwa kipindi cha miezi 18 lakini bado haujakamilika kutokana na vikwazo mbalimbali ikiwemo sakata la fidia na kuchelewa kwa vipozeo vya umeme  kufika kwenye vituo hivyo. Ameongeza kuwa jumla ya dola milioni 34.252 zinatarajiwa kutumika ili kukamilisha mradi huo ambapo kati ya hizo tayari Dola milioni 28 zimeshalipwa.

No comments:

Post a Comment

 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU