ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

Lulu Diva Adai Anamiliki Gari La Thamani Kuliko Wasanii Wote Tanzania

Friday, August 3, 2018

 Aliyewahi kuwa video vixen na sasa ni msanii wa muziki wa bongo fleva, Lulu Diva anae hit na ngoma yake ya 'Ona' amefunguka kuwa yeye ni msanii pekee anaemiliki gari ya thamani Tanzania nzima.

Akipiga story eckros news, Lulu Diva, amefunguka na kusema kuwa hana mpango wa kubadilisha gari kwa sababu gari lake ni zuri na lina thamani kuliko magari ya wasanii wote Tanzania. 

“Hapana sina mpango wa kubadilisha gari lakini nitabadiisha rangi kwa sababu sijaona gari ambayo ninaweza nikabadilisha tofauti na Jeep naipenda sana, halafu pia katika wasanii wote mimi peke yangu ndio nina gari nzuri halafu la thamani nyie wenyewe mkiangalia mnaona na sio kitu ambacho naongea ili kujisifia ila am proud of myself” alisema Lulu Diva huku akiongeza kwa kusema kuwa gari hilo hajanunuliwa na mwanaume bali kanunua mwenyewe kutokana na juhudizake binafsi za kimziki, biashara na ukulima wa kahawa.

No comments:

Post a Comment

 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU