ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

MSANII WA HIP HOP "YLEEZ " KUTOKA NJOMBE AJA KWA MUONEKANO MPYA.

Saturday, August 4, 2018




Msanii wa muziki wa Bongo Freva alimaalufu kama Hip Hop ajulikanaye kwa jina  YLEEZ amekutana na chombo chetu cha habari na kuzungumzia haswa
kazi yake muziki huo lakini pia amesema kwamba hivi kalibuni anatarajia kuachia wimbo Mpya utakao kwenda kwa jina la USIKONDE. 

Kazungumza hayo na mwandishi wetu Chrispin Kalinga alimaalufu kwa Jina la KIBOKO CHA MADANGA leo katika msako kwa msako ya Mubashara blog hapo mkoani njombe.

Sambamba na hayo Yleez aliongeza kwa kusema kuwa wimbo huo anao tarajia kuuachia siku ya kuzaliwa kwake ambayo ni August 13.Mwaka huu.
Hata hivyo msanii huyo amesema kuwa anawaomba mashabiki wake kuvuta subira kwa lengo la kuhakikisha ubora wa kazi hiyo ili kuufikisha mbali mziki wake.
   


Hapa katika picha {kushoto}ni presenter chrispin kalinga na{ kulia} katika Yleez ambaye mndiye msanii wa muziki huo.



Na hapa ni sehemu tu ya ofisi za Mubashara blog ambapo alifanikiwa kuingia ndani ya ofisi hizo akiwa yeye na mtangazaji.


No comments:

Post a Comment

 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU