ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

BASATA watoa NENO kuhusu afya ya Ommy Dimpoz

Sunday, August 26, 2018

Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) halijakaa kimya kipindi hiki ambacho msanii wa Bongo Fleva  Ommy Dimpoz anaumwa.

Kupitia ukurasa wao wa mtandao wa Twitter wamemtakia msanii huyo afya njema kipindi hiki anapatiwa matibabu nchini Afrika Kusini. 

"THREAD: Imeripotiwa tena msanii na ndugu yetu @ommydimpoz amerejea hospitalini kwa matibabu zaidi. Tunasimama na wapenda sanaa, wapenzi wake na watanzania wote kwa ujumla katika kumwombea na hatimaye arejee katika afya yake."
Tangu mwezi mwaka huu Juni Ommy Dimpoz amekuwa akipatiwa matibabu nchini Afrika Kusini ambapo alifanyiwa upasuaji wa koo kisha baadaye alirejea nchini na sasa amerudishwa tena Afrika Kusini. 

No comments:

Post a Comment

 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU