ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

Mkuu wa Mkoa Njombe ataka wanaotorosha madini wafichuliwe

Thursday, August 2, 2018




Na Chrispin kalinga

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka amewataka  wananchi wanaoishi Vijiji  jirani  vinavyopakana na machimbo  ya  madini  ya  tanzanite  ya  mereani  wilayani  simanjiromkoani   manyara  kusaidia kuwafichua  watu  wote  watakaojaribu  kuhujumu  jitihada  za  serikali   kudhibiti  utoroshaji   wa   madini

Akizungumza  na  Wananchi   wa  Mji  mdogo wa  mererani   mkuu   wa  mkoa  wa  njombe  mh  christoper  sendeka  amesema  pamoja  na  suala  la  ulinzi   wa  rasilimali  za  nchi  kuwa  la  watanzania  wote walioko  jirani  na   maeneo  zinakopatikana   wana  wajibu  mkubwa  zaidi   kwani  pia  lengo  likitimia  wanakuwa  wa  kwanza  kunufaika .

Kwa  upande  wao  baadhi  ya  wananchi Leopold  Mao  wamesema  pamoja  na hatua  za  kisheria  zinazochukuliwa  kulinda  rasilimali  za  nchi   yakiwemo  madini  kuna  umuhimu  mkubwa  wa  kutoa  elimu  ya  kuwawezesha   wananchi  kuwa  wazalendo  hasa  waliko  kwenye maeneo  yenye  rasilimali .

Ole  Sendeka  pia  amekutana  na  kuwaomba   viongozi  wa   kidini  katika  eneo  hilo   kusaidiana  na  serikali  kuelimisha   wananchi  kuondokana  na  imani  potofu  watu   kuwekeza  katika  ushirikina  badala  ya   utaalam  katika  suala  zima  la  utafutaji   wa madini

No comments:

Post a Comment

 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU