ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

Sababu na dalili za Kuharibika kwa Mimba

Wednesday, August 29, 2018

Sababu na dalili za Kuharibika kwa Mimba - Sehemu ya Kwanza

kutana na suruhisho lako kwa njia ya mtandao kwa masharti nafuuu juu ya mambo ya uzazi na mambo yote ya Afya ya binadamu kwa ushauri nasaha  Sambamba na hilo ushauri wa ndoa na namna ya kumtambua mwenzi wa kweli lakini pia unaweza kuwasiliana nami kwa ufafanuzi zaidi kwa kupiga simu nambari 0753121916 utaongea moja kwa moja na Prof:Chrispin Kalinga kuwa huru masaa 24

Utangulizi
Kuharibu/kuharibika kwa mimba kwa njia ya kutoa kiinitete (embryo) au mjusi (fetus) kabla ya kutimiza umri wa kuweza kuishi nje ya mfuko wa kizazi hujulikana kama abortion 1. Mimba inapoharibika yenyewe kabla ya kutimia umri wa wiki

Mahakama Yasema Nondo Anakesi ya Kujibu

Monday, August 27, 2018


Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP), Abdul Nondo anayekabiliwa na mashtaka ya kusambaza taarifa za uongo akidai kutekwa amekutwa na kesi ya kujibu.

Tido Mhando akutwa na kesi ya kujibu

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemkuta na kesi ya kujibu aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa (TBC) Tido Mhando katika kesi yake ya matumizi

BASATA watoa NENO kuhusu afya ya Ommy Dimpoz

Sunday, August 26, 2018

Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) halijakaa kimya kipindi hiki ambacho msanii wa Bongo Fleva  Ommy Dimpoz anaumwa.

Swali la Mwananchi lasababisha RC Mbeya kujivua uenyekiti wake wa CCM Iringa


Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amesema ameachia uenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa kwa maelezo kuwa ameambiwa achague nafasi moja.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Amjlia Hali. Dr Hamisi Kigwangala

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amjulia hali.Waziri wa Maliasili na Utalii,

Breaking: Mama Mzazi Wa Sugu Afariki Dunia

Mama mzazi wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ Desderia Mbilinyi amefariki dunia leo Jumapili Agosti 26, 2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).

CHADEMA, ACT Wazalendo Wasusia Uchaguzi wa Marudio Tanga

Vyama vya CHADEMA, ACT Wazalendo na NCCR Mageuzi vimetangaza kugomea kushiriki uchaguzi wa udiwani katika Kata ya Mwanzage jijini Tanga kwa kile walichoeleza ni kuwepo kwa zuio la mahakama juu ya uchaguzi huo.

NAFASI ZA MASOMO HIZI HAPA PAMOJA WEWE UNAYE TAFUTA CHUO CHA UDEREVA SASA KIMBILIO LAKO HILI HAPA


Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari Ekros anakutangazia nafasi za masomo yafuatayo kwa wewe mtanzania 

Uandishi wa habari na utangazaji
.Uongozaji wa hotel za kimataifa
.Ualimu wa awali
.Mafunzo ya udereva

Njia ya kupanga uzazi kwa kutumia Kalenda/ Kuzuia Mimba Kwa Njia ya Kalenda


Kutana na mimi Chrispin Kalinga kwa msaada zaidi ili siku ukutanapo na mwenzi wako usipate mimba kwa matumizi sahihi ya karenda lakini pia kama unawasiwasi na siku ya kupata mimba nitafute kwa mashart nafuu kwa msaada zaidi nipigie sim au tuma ujumbe mfupi wa maandi kwa simu: 0753121916
ndani ya masaa 24 kuwa huru nipo kwaajili yako......
Hii ni njia ambayo mwanamke anaweza kutumia kupanga uzazi bila kutumia dawa au kitu cha aina yoyote.

JINSI AMBAVYO UNAWEZA KUTUNZA PENZI LAKO KWA MWENZI WAKO

Saturday, August 25, 2018



ASANTE
Wiki iliyopita tulijifunza namna ambavyo unaweza kuanzisha mahusiano na mtu yeyote unaye mpenda....mimi naitwa chrispin kalinga ambaye nakusogezea kila wiki lakini unayo nafasi ya kunitafuta kwa simu yangu ya mkononi :0753121916

basi twende sambamba kwa kujifunza namna ambavyo mahusiano yanavyo anza,,,,,,,,,,,,,

Mbosso Akabidhiwa Hati ya Mjengo


Msanii wa muziki kutoka label ya WCB, Mbosso amefunguka kuzungumzia nyumba ambazo walijengewa na Mkubwa Fella wakati yupo Yamoto Band. Nyumba hizo ni nne za wasanii wote ambao walikuwa Yamoto Band zipo Mbande Kisewe, Chamazi jijini Dar es salaam.

Makamu wa rais wa zamani DRC Bemba apigwa chini kugombea urais

Bw Bemba ni miongoni mwa wagombea sita waliokuwa wamewasilisha majina yao kutaka kugombea, lakini tume hiyo imesema hawajahitimu baada ya mashauriano ya saa kadha.
Kiongozi huyo wa zamani wa waasi aliachiliwa huru baada ya mahakama kubatilisha hukumu dhidi yake ya kumpata na hatia ya uhalifu wa kivita mwezi Juni.
Tume ya uchaguzi imesema Bw Bemba amezuiwa kuwania kwa sababu alipatikana na hatia ya kuwahonga mashahidi katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC).
Bw Bemba, aliyerejea DR Congo mwanzoni mwa Agosti baada ya kukaa miaka 11 uhamishoni au gerezani, amewasilisha rufaa kupinga hukumu hiyo dhidi yake katika ICC.
Uchaguzi wa mwaka huu utafanikisha kuchaguliwa kwa mrithi wa Rais Joseph Kabila, ambaye muhula wake wa pili na wa mwisho wa kuongoza ulimalizika miaka miwili iliyopita.
Muungano tawala nchini humo ulimteua waziri wa zamani wa mambo ya ndani Emmanuel Ramazani Shadary kuwa mgombea wake.
Kulikuwa na jumla ya watu 25 waliotaka kuwania, wakiwemo mawaziri wakuu wa zamani Antoine Gizenga na Adolphe Muzito. Wawili hao pia wamekataliwa kuwania.
Vyama vya upinzani vilishutumu hatua hiyo ya tume ya uchaguzi hata kabla ya uamuzi huo kutangazwa rasmi, wakiituhumu serikali ya sasa kwa kujaribu kudhibiti na kuelekeza mchakato wa uchaguzi.
Wale waliozuiwa kuwania akiwemo Bemba anayetazamwa na wengi kama mgombea anayetoa ushindani mkali zaidi kwa muungano tawala wa rais Kabila, wanaweza kukata rufaa uamuzi huo wa tume.

Mabasi ya Shule Yagongana Jijini Mwanza Na Kuua Mmoja

Thursday, August 23, 2018

Basi la shule ya msingi Kivulini na la shule ya msingi Nyamuge yamegongana leo asubuhi na kusababisha kifo cha mtu mmoja.

Lugola Atangaza Kiama kwa Polisi Wala Rushwa

Thursday, August 16, 2018


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amesema hatawaonea huruma polisi watakaokamatwa wakichukua rushwa na wale wanaonyanyasa wenye magari, bodaboda na wananchi.

Kesi ya Habinder Seth na Rugemalira Yapigwa Kalenda Tena

Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mshtakiwa Habinder Seth na mwenzake, leo Alhamisi 16, 2018 imeahirishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu hadi Agosti 30, 2018.

Waziri Mkuu Aagiza Kukamatwa Kwa Mtendaji....Ni baada ya upotevu wa sh milioni 141 za kijiji


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa TAKUKURU wa wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Bw. Francis Zuakuu kumkamata aliyekuwa Mtendaji wa Kijiji cha Bulagamilwa, Bw. Ntemi James kwa tuhuma za kuhusika na upotevu wa sh. milioni 141 za kijiji hicho.

Lugola Aagiza Polisi Kuwakamata Waliofanya Ufisadi Sekta Ya Michezo

Sunday, August 12, 2018

  Na chrispin kalinga

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amemtaka Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Bunda kuwakamata watu walioshiriki kuwatapeli wananchi katika Sekta ya michezo wilayani humo, Mkoa wa Mara.

Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete amtembelea Waziri wa Maliasili Dk. Khamis Kigwangalla

Thursday, August 9, 2018

Rais Mstaafu wa awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete jana  tarehe 8,

Waziri Mkuu: Vijana Fanyeni Kazi Acheni Kulalamika

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka vijana wabadilike na watafakari namna bora ya kuboresha maisha yao na wafanye kazi kwa bidii badala ya kukaa vijiweni na kulalamika.

Waziri wa Habari Sanaa na Michezo Harrison Mwakyembe Aomboleza Kifo cha Mzee Majuto

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb) amesema Serikali imepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha msanii nguli wa filamu nchini Bw. Amri Athumani  maarufu kama King Majuto  kilichotokea jana usiku katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam.

Waziri agoma kuwasha umeme, mkandarasi nae matatani

Wednesday, August 8, 2018


Wananchi mkoani Rukwa wamelalamikia kasi ndogo, inayofanywa na mkandarasi wa kusambaza umeme wa mradi wa umeme vijijini wa REA, ambapo kati ya vijiji 142 vilivyopangwa kupitiwa na umeme huo kwa awamu ya tatu, ni vijiji saba tu vilivyofikiwa hadi sasa na kwa wateja wasiozidi kumi tu.

Rais Kabila akubali kung'atuka, asema hatagombea amtangaza mrithi wake



Rais wa DRC Joseph Kabila hatowania katika uchaguzi wa urais wa Desemba 23. Emmanuel Ramazani Shadary, Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani, ameteuliwa kupeperusha bendera ya chama cha PPRD na washirika wake.

Rais Magufuli Akutana Na Viongozi Wa Jumuiya Ya Kikristo Tanzania (CCT) Ikulu Jijini Dar Es Salaam Leo

Tuesday, August 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)  ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi

Rais Magufuli Akutana Na Viongozi Wa Baraza La Maaskofu Wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Ikulu Jijini Dar Es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifanya sala na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga, Makamu wa Rais wa Baraza lhilo Dkt. Flavian Kasalla na  Katibu Mkuu wa TEC  Dkt.

Ahukumiwa kwenda Jela kwa kuishi nchini kinyemela

Monday, August 6, 2018


RAIA wa Burundi, Salumoni Msigara (21), amehukumiwa kwenda jela miaka miwili kwa kosa la kuingia nchini na kuishi bila kibali maalumu kutoka Idara ya Uhamiaji.

Nandy ashinda Tuzo nyingine Kubwa

Msanii wa muziki Bongo, Nandy ameshinda tuzo kutoka Maranatha Awards. Hizi ni tuzo maalumu kwa ajili ya muziki wa Injili ambazo hutolewa nchini Kenya.

Mabasi 12 Ya Kwenda Mikoani yasitisha safari n zake

Mabasi 12 yanayofanya safari za kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa mbalimbali leo Jumatatu Agosti 6, 2018 yamesitisha safari zake mpaka yatakapotengenezwa baada ya kubainika kuwa na kasoro katika mfumo wa usukani.

MSANII WA HIP HOP "YLEEZ " KUTOKA NJOMBE AJA KWA MUONEKANO MPYA.

Saturday, August 4, 2018




Msanii wa muziki wa Bongo Freva alimaalufu kama Hip Hop ajulikanaye kwa jina  YLEEZ 

Lulu Diva Adai Anamiliki Gari La Thamani Kuliko Wasanii Wote Tanzania

Friday, August 3, 2018

 Aliyewahi kuwa video vixen na sasa ni msanii wa muziki wa bongo fleva, Lulu Diva anae hit na ngoma yake ya 'Ona' amefunguka kuwa yeye ni msanii pekee anaemiliki gari ya thamani Tanzania nzima.

Waziri Mkuu kuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa tamasha la 'Simba Day'

Klabu ya soka ya Simba leo imemtangaza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa kuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa tamasha la 'Simba Day' dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana Agosti 8, 2018.

NDOA YA ERICK MLELWA YAAMSHA MENGINE MKOANI NJOMBE

Thursday, August 2, 2018




Huyu kushoni ni bibi harusi na kulia ni msimamizi wa bibi harusi

Zao La Mchikichi Kumaliza Uhaba Wa Mafuta Nchini


SEKTA ya kilimo ni mhimili wa uchumi wa Taifa na inategemewa katika kuifikisha Tanzania kwenye uchumi wa kati ifikapo 2025, kupitia viwanda kwa sababu kilimo ndicho kitawezesha viwanda kwa kuvipatia malighafi.

Mkuu wa Mkoa Njombe ataka wanaotorosha madini wafichuliwe




Na Chrispin kalinga

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka amewataka  wananchi wanaoishi Vijiji  jirani  vinavyopakana na machimbo  ya  madini  ya  tanzanite  ya  mereani  wilayani  simanjiromkoani   manyara  kusaidia kuwafichua  watu  wote  watakaojaribu  kuhujumu  jitihada  za  serikali   kudhibiti  utoroshaji   wa   madini

Dogo Janja: Sijawahi kuwa na bifu na msanii yoyote hapa nchini


Msanii wa muziki wa kizazi kipya Abdul Aziz Chande maarufu kama 'Dogo Janja' amesema hana bifu lolote na wasanii wenzake ambao amekuwa akihusishwa nao kama, Young Killer na Young Dee huku akidai vitu hivyo vinavumishwa na watu, lakini wao ni marafiki na wala hawana ugomvi.

Naibu Katibu Mkuu atoa ombi hili kwa Wabunge na Wawakilishi


Na. chrispin kalinga.

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Zanzibar, Dk.Abdulla Juma Mabodi amewataka Wabunge na Wawakilishi nchini kuongeza kasi ya kutatua kero za wananchi kwa wakati kama walitoa ahadi zao katika uchaguzi mkuu uliopita.

Jenerali wa Magereza nchini Phaustine Kasike Awaasa Maofisa wa Jeshi la Magereza Kuzingatia Maadili ya Kazi


Na chrispin kalinga

KAMISHNA Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike amewataka Maofisa na askari wa Jeshi hilo kujiepusha na vitendo vilivyo kinyume na maadili ya kazi yao, badala yake wazingatie kanuni, miiko na maadili ya uendeshaji wa Jeshi la Magereza.

“Jokate akiamuru Pinda awekwe mahabusu watapiga makofi”: Godbless Lema

Wednesday, August 1, 2018

Jana July 31, 2018 Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe alitoa majibu baada ya kutakiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani kuripoti kwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Lindi kwa kufanya mkutano katika Jimbo lisilo lake nakusema Waziri hana mamalaka hayo kisheria.

Wanachama wa Simba wapokea katiba mpya kinyonge



Baadhi ya wanachama wa Simba wameipokea katiba mpya ambayo imetoka kusajiliwa hivi karibuni na Msajili wa Vyama vya Michezo nchini, Ibrahim Mkwawa katika

Wananchi waombwa kuepukana na mila potofu juu ya utumiaji dawa za minyoo




Na Timothy Itembe, Tarime

Baadhi ya wazazi na walezi wilayani Tarime katika Mkoa wa Mara wametakiwa kuondokana na imani potofu kuwa dawa za kichocho na minyoo zina madhara kwa binadamu.

Makampuni yanayotoa huduma za Internet yaagizwa kufungia tovuti za picha chafu ‘Pornography’ ifikapo mwezi Septemba 2018

Kwa kile kinachoonekana ni kulinda maadili ya wananchi nchini Uganda, Serikali ya nchi hiyo kupitia Mamlaka ya Mawasiliano nchini humo (UCC)
 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU