

Mkurugenzi wa mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (katikati) akifafanua jambo wakati wa
Uzinduzi ya huduma mpya ya ‘Ya kwako tu’ itakayowawezesha wateja wa kampuni hiyo kujipatia vifurushi vya gharama nafuu kadri ya matakwa yao wapendayo kuanzia vya huduma ya data,kupiga simu na kutuma ujumbe mfupi wa maneno. Ili mteja aweze kujiunga na huduma hii anatakiwa kupiga namba*149* 03# na kuchagua ofa ya kwako tu, anayeshuhudia kushoto ni Afisa Mkuu wa Idara ya masoko wa kampuni hiyo, Ashutosh Tiwary na Mkuu wa kitengo cha wateja wakubwa wa kampuni hiyo, Danilo De Sousa.
No comments:
Post a Comment