ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

PICHA : Mapokezi ya timu ya taifa ya Ureno baada ya kutua Lisbon na Kombe

Monday, July 11, 2016


Usiku wa July 10 2016 timu ya taifa ya Ureno ilifanikiwa kutwaa Kombe la mataifa ya Ulaya maarufu kama Euro, kwa kuifunga timu ya taifa ya Ufaransa kwa jumla ya
goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na na Eder dakika ya 109 katika uwanja wa Stade de France.
362898A000000578-3684274-The_squad_posed_for_another_photo_with_the_trophy_and_a_photo_of-a-120_1468241690865
Baada ya ushindi huo July 11 2016 kikosi cha timu ya taifa ya Ureno kiliwasili Lisbon Ureno wakiwa na Kombe lao na kupata mapokezi makubwa kutoka kwa raia wa nchi hiyo,Ronaldo na wachezaji wenzaji waliwasili Ureno na kutembeza Kombe wakiwa katika basi la wazi.
3627C23900000578-3684274-Ronaldo_and_Nani_enjoy_the_celebrations-a-119_1468241690836
3627C74B00000578-3684274-The_Portugal_bus_arrives_at_the_airport_as_the_country_s_heroes_-a-114_1468241690596
3628CB1900000578-3684274-Cristiano_Ronaldo_holds_aloft_the_European_Championship_title_af-a-116_1468241690686
3629C5E100000578-3684274-image-a-143_1468244718738

No comments:

Post a Comment

 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU