ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

CAF wameipiga faini Yanga ya zaidi ya milioni 9 za kitanzania

Monday, July 11, 2016

July 11 2016 shirikisho la soka Tanzania TFF limetoa taarifa iliyoipata kutoka kwa shirikisho la soka barani Afrika CAFTFF wametangaza maamuzi ya CAF yalioamuriwa juu ya klabu ya Dar es Salaam Young Africans kupigwa faini ya dola
5000 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 9.
CAF wamefikia maamuzi hayo kwa kosa la wachezaji wa Yanga kumzonga muamuzi na kuchelewa muda wakati wa mchezo wao marudiano wa  Kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya klabu ya GD Esperanca ya Angola, mchezo ambao ulichezwa May 18 2016Angola.
Maamuzi hayo yalifanywa na Kamati ya Nidhamu ya CAF inayoundwa MwenyekitiRaymond Hack – raia wa Afrika Kusini na wajumbe Mustapha Samugabo (Burundi) naGbenga Elegbeleye (Nigeria), pamoja na Amina Kassem kutoka Sekretarieti ya CAFambaye ni Mtawala katika Kitengo cha Nidhamu.
IMETOLEWA NA TFF

No comments:

Post a Comment

 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU