ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

YANGA BINGWA! : NIYONZIMA AIPAISHA YANGA TAIFA.

Wednesday, April 13, 2016


Timu ya Yanga imeifunga timu ya mwadui ya mjini shinyanga bao 2 kwa 1  na kubakiza pointi moja tu kuwakamata vinara wa ligi hiyo Simba Sc walio na jumla ya pointi 57, huku yanga ikiwa na mchezo mmoja mkononi.

Kipindi cha kwanza kimemalizika kwa timu hizo kupata bao moja kila mmoja.Yanga ilianza kupata bao katika dakika ya 3 kupitia Simon Msuva na Mwadui FC wakasawazisha katika dakika ya 13 kupitia Kelvin Sabato.

Yanga ilifunga bao lake la ushindi dakika ya 87 baada ya Niyonzima kuunganisha vyema pasi ya kichwa ya Donald Ngoma.

No comments:

Post a Comment

 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU