ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

BREAKING NEWS: TANZANIA KUITINGISHA AFRIKA NA DUNIA KWA UJUMLA BAADA YA KUTOA MWANASAYANSI BORA AFRIKA

Thursday, April 7, 2016


Tanzania imepata headlines nyingine baada ya kupata mshindi msomi kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam Aneth David ambaye pamoja na Waafrika wengine, wameshinda tuzo ya Mwanasayansi mkubwa ajaye duniani
Tuzo inaitwa Next Einstein Forum Ambassador na imeandaliwa na taasisi ya Next Einstein Forum ambao wanaamini kwamba Einstein anaekuja ambaye alikua Mwanasayansi mkubwa wa Marekani atatoka Afrika, Mwanasayansi huyu aliweza kutabiri mambo yaliyokuja kutokea miaka 100 baadae.
Next Einstein Forum wanaamini kuna Wanasayansi wanaofanya mambo makubwa na mazuri na yanasaidia jamii zao lakini wamefichika wapo vichakani, kinachojulikana zaidi kutoka Afrika ni vita njaa na magonjwa’ – Aneth
Aneth amesema alipeleka maombi ya kushiriki tuzo hii July 2015 na baadae akapata majibu, kulikua na Watanzania kama watano aliowaona walioshiriki kama yeye lakini yeye ndio akatajwa mshindi, kulikua na Wawakilishi 54 kutoka nchi mbalimbali za Afrika ambapo kila nchi imepata mwakilishi wake, yeye kashinda kuiwakilisha Tanzania.
March 2016 washindi walikutana Senegal kwenye mkutano mmoja na Mawaziri wa Sayansi Afrika na Marais akiwemo Rais Paul Kagame wa Rwanda na kuwaleta pamoja na Wadau wa sekta binafsi, hii ni kama kuileta dunia pamoja na Washindi hawa wanapata nafasi ya kuonyesha project zao za kuleta mabadiliko kwenye kiza

No comments:

Post a Comment

 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU