ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

Rais Magufuli kafanya uteuzi mwingine leo April 25 2016

Monday, April 25, 2016


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli leo tarehe 25 April 2016 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa 26 ya Tanzania Bara. Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa kati ya Makatibu tawala hao 10 ni wapya, 2 wamebadilishiwa vituo vya kazi na 13 wamebakisha katika vituo vyao vya sasa.
Makatibu Tawala wapya walioteuliwa ni kama ifuatavyo;
⦁ Arusha – Richard Kwitega
⦁ Geita – Selestine Muhochi Gesimba 
⦁ Kagera – Armatus C. Msole
⦁ Kilimanjaro – Eng. Aisha Amour
⦁ Pwani – Zuberi Mhina Samataba
⦁ Shinyanga – Albert Gabriel Msovela
⦁ Singida – Dr. Angelina Mageni Lutambi
⦁ Simiyu – Jumanne Abdallah Sagini
⦁ Tabora – Dkt. Thea Medard Ntara
⦁ Tanga – Eng. Zena Said
Makatibu Tawala waliobadilishwa vituo vya kazi ni kama ifuatavyo;
⦁ Kigoma – Charles Amos Pallangyo (Kutoka Mkoa wa Geita)
⦁ Morogoro – Dkt. John S. Ndunguru (Kutoka Mkoa wa Kigoma)
Makatibu Tawala waliobakishwa katika vituo vyao vya sasa vya kazi ni kama ifuatavyo;
⦁ Dar es salaam – Theresia Louis Mbando
⦁ Dodoma – Rehema Hussein Madenge
⦁ Iringa – Wamoja Ayubu Dickolagwa
⦁ Katavi – CP Paul Chagonja 
⦁ Lindi – Ramadhan Habibu Kaswa
⦁ Mara – Benedict Richard Ole Kuyan
⦁ Manyara – Eliakimu Chacha Maswi
⦁ Mbeya- Mariam Amri Mjunguja
⦁ Mtwara – Alfred Cosmas Luanda
⦁ Mwanza – CP. Clodwing Mathew Mtweve
⦁ Njombe – Jackson Lesika Saitabau
⦁ Rukwa – Symthies Emmanuel Pangisa
⦁ Ruvuma – Hassan Mpali Bendeyeko
Makatibu Tawala wa Mikoa 10 ambao wameteuliwa kwa mara ya kwanza, wataapishwa siku ya Jumatano tarehe 27 Aprili, 2016 saa tatu asubuhi Ikulu Jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU