ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

VPL: AZAM WALIMWAGA, MAJIMAJI YAIDIDIMIZA COASTAL!

Thursday, April 7, 2016

VPL, LIGI KUU VODACOM
MATOKEO:
Jumatano Aprili 6
Azam FC 2 Ndanda FC 2  
Majimaji 2 Coastal Union 0
VPL-SIT-LOGO-1

VPL, Ligi Kuu Vodacom, iliendelea Jana kwa Azam FC kuzidi kupoteza mwelekeo wa kubeba Ubingwa baada kutoka Sare yao ya pili mfululizo.
Wiki iliyopita, Azam FC walitoka 1-1 na Toto Africans huko Mwanza na Jana wakiwa kwao Azam Complex waliumwaga uongozi wa 2-0 na kutoka Sare 2-2  na Ndanda FC.
Azam FC walifunga Bao zao Dakika za 16 na 42 kupitia Ramadhan Singano na Didier Kavumbagu lakini walisawazisha kwa Bao za Dakika ya 53 la Atupele Green na Dakika ya 89 la kujifunga wenyewe la Aggrey Morris.
Matokeo haya yamewabakisha Azam Nafasi ya 3 wakiwa na Pointi 52 kwa Mechi 23 huku Simba, waliocheza Mechi 24,  wako Nambari Wani wakiwa na Pointi 57 na Mabingwa Watetezi Yanga, waliocheza Mechi 22, wako Nafasi ya Pili wakiwa na Pointi 53.
Huko Uwanja wa Majimaji, Songea, Majimaji FC iliitwanga Coastal Union 2-0.
LIGI KUU VODACOM                       
Ratiba:
Jumamosi Aprili 9
Ndanda FC v Mwadui FC   
African Sports v Kagera Sugar     
Mtibwa Sugar v Tanzania Prisons 
Jumapili Aprili 10
Mgambo JKT v Mbeya City
Jumatatu Aprili 11
Toto Africans v Majimaji    
Jumatano Aprili 13
Mtibwa Sugar v Azam FC  
Yanga v Mwadui FC
Jumamosi Aprili 16
Coastal Union v JKT Ruvu  
Yanga v Mtibwa Sugar      
Jumapili Aprili 17
Simba SC v Toto Africans  
Jumatano Aprili 27
Azam FC v Majimaji
Yanga v Mgambo JKT       
Jumamosi Aprili 30
Toto Africans v Yanga       
Simba SC v Azam FC        
Ndanda FC v Kagera Sugar
African Sports v Coastal Union    
Mwadui FC v Stand United
Mtibwa Sugar v Mbeya City    

No comments:

Post a Comment

 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU