ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

Samatta atambulishwa rasmi Genk Ubelgiji

Sunday, January 31, 2016

Samatta
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta ametambulishwa kama mchezaji mpya wa klabu ya Genk ya Ubelgiji.
Samatta amejiunga na klabu hiyo inayocheza Ligi Kuu ya Ubelgiji kutoka kwa TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Samatta, aliyetawazwa mchezaji bora wa mwaka Afrika 2015 kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani, ametia saini mkataba wa hadi mwisho wa msimu wa 2019/2020.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 23, ambaye pia hucheza kama winga, alishinda vikombe sita vikubwa akiwa na TP Mazembe, ikiwa ni pamoja na kushinda Ligi ya Klabu Bingwa Afrika mwaka 2015.
Ameichezea timu ya taifa mara 20 na kufunga magoli saba.
Samatta
Akiandika kwenye akaunti yake ya Twitter, Samatta alisema: “Nimejiunga rasmi na<span >@KRCGenkofficial. Nasubiri kwa hamu kipindi hiki kipya maishani mwangu.”
Alimshukuru mmiliki wa TP Mazembe Bw Moise Katumbi na mashabiki kwa kumuunga mkono.

No comments:

Post a Comment

 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU