ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

Kutoka Zenji Mtibwa Sugar washindwa kulipa kisasi dhidi ya Azam FC (+Pichaz)

Sunday, January 3, 2016



Michuano ya Kombe la Mapinduzi imeendelea tena usiku wa January 3 baada ya kuchezwa mchezo wa awali kati ya Dar Es Salaam Young African ya Tanzania bara dhidi ya Mafunzo FC ya visiwani Zanzibar, baada ya mchezo huo kupigwa na Yanga kuibuka na ushindi wa 3-0.
Usiku wa January 3 ulichezwa mchezo wa pili wa Kundi B ambapo unajumuisha timu ya Yanga, Mafunzo, Mtibwa Sugar na Azam FC. Usiku huo ulikuwa ni zamu ya kupigwa mchezo kati ya Azam FC dhidi ya Mtibwa Sugar, ikiwa wiki moja nyuma zilikutana katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara na Azam FC kuibuka na ushindi wa goli 1-0.
January 3 katika mchezo ambao Mtibwa Sugar walikuwa wanapewa nafasi ya kulipiza kisasi kwa kuifunga Azam FC, wamekubali kutoka sare ya goli 1-1. Mtibwa walianza kupachika goli dakika ya 61 kupitia kwa Hussein Javu, goli ambalo lilikuja kusawazishwa na John Bocco kwa mkwaju wa penati dakika ya 74 baada ya kufanyiwa madhambi. Hivyo Yanga atakuwa anaongoza kundi kwa kuwa na point 3 na magoli matatu.

No comments:

Post a Comment

 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU