ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

HATARIII;MWIGULU NNCHEMA ATOA UJUMBE HUU MKALI MARA BAADA YA KUMFUMA KIGOGO 'AKIPEPESA MACHO' NA PEMBEJEO ZA WAKULIMA

Saturday, January 16, 2016


Ufuatiliaji wa Ugawaji wa pembejeo kwa wakulima,Nimefika wilaya ya Tunduru,Kata ya Nandembo na kata jirani kwaajili ya kujiridhisha na namna ugawaji wa pembejeo unavyofanyika kwa wakulima. Nimekutana na mchezo mchafu wa ugawaji wa pembejeo unaohusisha wakala wa pembejeo kula njama na viongozi wa serikali wa kata na vijiji kuwasainisha wakulima kuwa wamepokea pembejeo(Mbegu +Mbolea) ilia hali pembejeo hizo zinaishia mifukoni mwa wakala.Baadhi ya wakulima ambao sio waaminifu wanadiriki kupokea fedha kidogo iliwamuachie wakala zile pembejo akauze sehemu nyingine kwa bei ya juu ili hali ni ruzuku iliyotolewa na serikali kwaajili ya kuwasaidia wakulima kuboresha kilimo chao. Kwa hatua za awali kwa ubadhilifu uliofanywa na Uongozi wa kata ya Nandembo na mawakala waliopewa dhamana kusambaza pembejeo hizo wote wamekamatwa na jumatatu kupitia Kamati ya Ulinzi ya wilaya watapandishwa kizimbani.Lakini kuanzia sasa wakala Bw.Zuberi Namahala na Bw.Ibrahim Mohamed Ibrahim mbali ya kukamatwa na kufikishwa mahakamani,kuanzia sasa wamefutwa kwenye orodha ya mawakala wa pembejo. Natoa rai kwa Viongozi,Mawakala wa pembejeo na wakulima wote popote walipo kuhakikisha lengo la serikali la kuinua sekta ya Kilimo inafanyika kwa uaminifu na ufanisi,kwa yeyote yule anayeshiriki kuhujumu na kujinufaisha kupitia pembejeo zinazotolewa na serikali hatakwepa mkono wa serikali.

No comments:

Post a Comment

 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU