ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

Kama ulikupita ushindi wa Simba dhidi ya Ruvu Shooting

Friday, December 30, 2016

img-20161229-wa0036

Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea leo kwa michezo miwili kuchezwa Simba walicheza dhidi ya Ruvu Shooting uwanja wa Uhuru Dar es Salaam na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 goli ambalo lilifungwa na Mohamed Ibrahim wakati wa dakika za
nyongeza kuelekea kumalizika kipindi cha kwanza.
Matokeo hayo yameifanya Simba kufikisha jumla ya point 44 na kuendelea kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania bara nyuma ya wapinzani wao Yanga waliyowazidi kwa tofauti ya point nne.
Simba sasa anaenda kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar akiwa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu soka Tanzania bara, Simba katika michuano hiyo ataanza kucheza dhidi ya Taifa Jang’ombe January 1 2017 katika uwanja wa Amaan Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU