ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

Baada ya kufungana kwa rekodi na Ndanda FC kwa michezo mitano, leo Yanga imepata ushindi

Friday, December 30, 2016


Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena leo December 28 kwa Dar es Salaam Young Africans kuendelea na harakati zake za kutetea taji lake la Ligi Kuu soka Tanzania bara kwa kuikaribisha Ndanda FC katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.
Yanga ambao wamekuwa na rekodi sawa na
 Ndanda FC kwa mechi 5 zilizopita, Yanga alikuwa kamfunga Ndanda mara moja na kufungwa mara moja huku wakiwa wametoka sare michezo mitatu, ila leo Yanga amefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 4-0, magoli yakifungwa na Donald Ngoma dakika ya 4 na 21, Amissi Tambwe dakika ya 25 na Vincent Bossou.
Mara ya mwisho Yanga kucheza na Ndanda FC ilikuwa ni September 7 2016 katika uwanja wa Nangwanda Sijaona Mtwara na mchezo ulimalizika kwa suluhu ya 0-0, kwa maana hiyo Yanga na Ndanda FC wamekutana mara 6, Yanga kapata ushindi mara mbili, kafungwa mara moja na sare tatu.

No comments:

Post a Comment

 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU