ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

Umeme hakuna kupanda, majipu bado yapo na nitayatumbua’ Rais Magufuli

Sunday, January 1, 2017


January 1 2016 Rais Dk. John Pombe Magufuli alishiriki katika ibada ya mwanzo wa mwaka mpya 2017 na waamin wa kanisa katoliki Bukoba Cathedro ikiwa ni mojawapo ya ratiba yake katika ya siku mbili mkoani Kagera iliyoanza leo ambapo katika hotuba yake amesisitiza hatua ya serikali kuzuia ongezeko la gharama za umeme.
Rais Magufuli amesema
…>>>’Umeme unakwenda mpaka kwa masikini walioumbwa kwa mfano wa Mungu alafu Mtu pekee sababu ya cheo unapandisha bei ya umeme
Haiwezekani unapanga mikakati kujenga viwanda na kusambaza umeme vijijini alafu Mtu sababu ya cheo chako unapandisha bei ya umeme‘ –Rais JPM
Namshukuru Waziri wa Nishati ameshatengua maamuzi kwahiyo umeme hakuna kupanda, majipu bado yapo na nitaendelea kuyatumbua‘- Rais JPM

No comments:

Post a Comment

 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU