ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

Maneno ya Diamond kwa Harmonize baada ya kushinda tuzo ya AFRIMMA

Monday, October 17, 2016

Tuzo za AFRIMMA ambazo hutolewa kila mwaka kwa Waafrika mbalimbali waliofanya vizuri kwenye sekta mbalimbali hasa za burudani, zimetolewaDallas Texas Marekani leo ambapo kwenye list yote Watanzania walioshinda ni watatu.
Watanzania walioshinda ni Dj D Ommy wa CloudsFM kupitia show mbalimbali ikiwemoXXL na AMPLIFAYA ambapo ameshinda tuzo ya Dj bora Afrika, mwimbaji Harmonize akishinda tuzo ya msanii bora chipukizi Afrika 2016huku Diamond Platnumzakishinda ya msanii bora wa kiume Afrika Mashariki.
Sasa miongoni waliotoa pongezi kwa Harmonize ni Diamond Platnumza ambae kupitia instagram alipost picha na kuyaandika haya>>>>hii picha inanikumbusha mwaka jana ulipokuja nipokea airport kutokea@afrimma …ukaniuliza “hivi ipo siku nami nitachaguliwa tunzo yoyote ya kimataifa”….nikakwambia “Ukifanya kazi kwa bidii’
‘Ukimuheshimu kila mtu, ukamuamini na kumuomba Mwenyez Mungu basi Mollah atakufungulia ndoto zako….na leo hii kweli Tunafurahia Ushaindi wako wa Msanii Bora Chipkizi Africa….. Hongera sana @harmonize_tzna shukran sana sana kwa Mashabiki zetu pendwa kwa kura na @Afrimmakwa kuendelea kuvinyanyua vipajia vya Africa🙏’-Diamond Platnumz

No comments:

Post a Comment

 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU