ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

Afande Sele kakubali kujiunga CCM ? kayaongea haya…

Wednesday, October 19, 2016

Ni October 15, 2016 ambapo msanii mkongwe kutoka Bongoflevani, Afande Sele aliingia kwenye headlines mitandao za kuhusu kuhamia CCM kutokana na
picha iliyosambaa ikimuonesha akiongea kwenye msafara uliosimamishwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu mkoani Morogoro.
Sasa  basi millardayo.com & Ayo TV imempata staa huyo na kuyangea haya>>Hizo taarifa si kweli na napokea simu nyingi sana kuhusu habari uliyoisikia ile siku nilipata mualiko wa Serikali kuzungumza machache baada ya Makamu wa Rais mama yetu Samia Suluhu alipofika mkoani kwetu sikuwa pekee yangu bali nilikuwa na mkuu wa mkoa naomba watu wajue kwamba mimi bado nipo katika chama changu cha ACT’

No comments:

Post a Comment

 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU