ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

Alichokizungumza Rais Magufuli kuhusu mikopo ya wanafunzi vyuo vikuu

Friday, October 21, 2016



Baada ya kuwepo kwa hatua mbalimbali za wanafunzi wa vyuo kudai ongezeko la fedha ya kujikimu na kupatiwa mkopo kwa wanafunzi ambao hawajapatiwa mikopo na baadae Wizara kuahidi kushughulikia suala hilo.
Leo October 21 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa Hosteli za Wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Rais Magufuli wakati akihutubia amegusia suala la mikopo ya wanafunzi ambapo amesema……..
Vyuo vyote vya elimu ya juu viwe na tarehe moja ya kufungua, ukishafungua kwa haraharaka wakakaa pale kwa mwezi mmoja halafu unawaambia kufanya usajili lazima walipe wakati bodi haijatoa orodha ya majina ya vijana watakaokopeshwa, lazima kuwepo na mawasiliano kati ya bodi ya mikopo, TCU, wizara ya Elimu na wizara ya fedha’
lengo la serikali si kuleta usumbufu kwa wanafunzi, lakini ni ukweli pia haitatoa mkopo kwa wanafunzi wenye uwezo, mtoto wa Ndalichako naye apate mkopo?, mtoto wa katibu mkuu Kijazi naye apate mkopo? haiwezekani, mkopo huu umelenga kwa ajili ya kutoa watoto maskini lakini nasikia kule kuna upendeleo fulani katika kutoa mkopo sasa hili Waziri na bodi zinazohusike msimamie’-JPM

No comments:

Post a Comment

 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU