ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

Kama ulikupita ushindi wa Simba dhidi ya Ruvu Shooting

Friday, December 30, 2016

img-20161229-wa0036

Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea leo kwa michezo miwili kuchezwa Simba walicheza dhidi ya Ruvu Shooting uwanja wa Uhuru Dar es Salaam na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 goli ambalo lilifungwa na Mohamed Ibrahim wakati wa dakika za

Baada ya kufungana kwa rekodi na Ndanda FC kwa michezo mitano, leo Yanga imepata ushindi


Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena leo December 28 kwa Dar es Salaam Young Africans kuendelea na harakati zake za kutetea taji lake la Ligi Kuu soka Tanzania bara kwa kuikaribisha Ndanda FC katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.
Yanga ambao wamekuwa na rekodi sawa na

Auawa Kwa Kuchomwa Kisu Wakati Wakigombea Soda

Tuesday, December 27, 2016



JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia mkazi wa Olasiti, jijini Arusha, Hamisi Amani (17), kwa tuhuma za kumuua mwenzake wakati wakigombea soda.


Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa

Ushauri wa Zitto Kabwe Kwa Serikali Baada ya Kisa Hiki Alichokutana Nacho Hospitali Wakati Mkewe Akijufungua


Jana December 27 2016 mbunge wa kigoma mjini na kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe na mke wake wamepata mtoto wa kike ambaye wamempa jina la Josina – Umm Kulthum.

Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa

SAKATA LA KUUAWA KWA FARU JOHN LACHUKUA SURA MPYA, WATUMISHI WATANO WATIWA MBARONI



Maofisa watano wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) wanaotuhumiwa kushiriki kumwondoa faru John kutoka katika Creta hiyo walikamatwa juzi kwa mahojiano ili kujua ukweli kuhusu mazingira ya kupotea kwake. 
Hatua ya maofisa hao kukamatwa imekuja siku tatu baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuituhumu menejimenti, wafanyakazi wa

OLE SENDEKA TANGAZA VITA NA WABADHIRIFU

Saturday, December 24, 2016



Mkuu wa mkoa wa njombea Christopher Olesendeka  ameuagiza uongozi wa halmashauri ya wilaya wangingo’mbe ikiwemo ofisi ya mkurugenzi kuhakikisha inamchukulia hatua za kisheria mtumishi wa idara ya

ULIIPATA HABARI YA BWANA HARUSI KUMKIMBIA BI HARUSI KANISANI KABLA YA KUFUNGA NDOA?? MAPYA YAMEIBUKA

Wednesday, December 21, 2016



Mapya  yameibuka sakata la kukwama kufungwa kwa ndoa ya Samwel Mwakalobo na Ginen Mgaya, baada ya kubainika kuwa moja ya sababu ni Bibi harusi mtarajiwa kuendeleza uhusiano na mzazi mwenzake.

Bwana harusi, Samuel Mwakalobo alitoweka muda mfupi kabla ya kufunga ndoa na

Jamaa ashinda milioni 760 kwa mkeka mmoja.

kenya2

Jamaa mmoja nchini Kenya sikukuu ya Christmas imemjia vizuri baada ya kushinda na mkeka wake kwenye kampuni ya Sport Pesa.
Jamaa mwenyewe jina lake ni Peter Byegon ni mfanyakazi wa hotel moja huko Nairobi ameshinda baada ya kupatia tabiri 16 kati ya 17 na kumpa ushindi wa kiasi cha Tsh 768,785,852.
Bwana Peter kama angepatia mechi zote 17 basi

CCM na Kujivua Gamba

Muhammad Yussuf
Katika Gazeti la NIPASHE toleo la Jumaane tarehe 20 Desemba 2016, kulichapishwa makala yenye kichwa cha maneno “CCM yarudisha kivingine staili ya uvuaji magamba”. Pamoja na mambo mengine, Mwandishi wa makala hiyo,Thobias Mwanakatwe, aliandika kama hivi:
“CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema matajiri wenye mikono michafu inayohusika na rushwa na dhuluma, wakae kando na chama hicho kwa kuwa kimeanza safari ya

TAASISI ZINAZOHAMASISHA NA KUTANGAZA USHOGA KUFUTIWA USAJILI TANZANIA


WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba ametaka apewe taarifa kuhusu taasisi na mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO) wanaohamasisha au kutangaza ndoa za jinsia moja nchini ili azifutie usajili mara moja.
Aidha ametaka kutajwa kwa watu wanaojihusisha na vitendo hivyo ili

RAIS MAGUFULI ATUMBUA VIGOGO 300 KWA UOZO NDANI YA SERIKALI



RAIS Dk. John Magufuli anaelekea kufunga mwaka huku akiwa amesafisha Serikali yake ya awamu ya tano kwa kuwatumbua watendaji zaidi ya 300 tangu alipoapishwa Novemba 5, mwaka jana.
Hatua hiyo imekuja baada ya kubainika uozo ndani ya Serikali, huku baadhi ya watendaji wa ngazi za juu wakihusishwa na tuhuma mbalimbali, ikiwamo za matumizi mabaya ya ofisi na ufisadi.
Hatua hiyo inaelezwa ni miongoni mwa mkakati wa

RAIS MAGUFULI AGOMA SHULE KUITWA JINA LAKE



Rais John Magufuli amekataa shule ya msingi iliyojengwa hivi karibuni eneo la Bunju, Wilaya ya Kinondoni kuitwa kwa jina lake badala yake ameagiza iitwe kwa jina la Mkuu wa wilaya hiyo, Ally Hapi. Taarifa ya badiliko la jina haikutolewa na Idara ya

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUHUSU MAITI 7 ZA MTO RUVU NA KUPOTEA KWA BEN SANANE - See more at: http://www.bongohotz.com/2016/12/taarifa-ya-jeshi-la-polisi-kuhusu-maiti.html#sthash.ULSjwiDp.dpuf

post-feature-image

Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa ufafanuzi kuhusu miili 7 ya watu iliyokutwa ikielea katika mto Ruvu na kusema kuwa linaendelea na upelelezi kwa lengo la kuwatambua marehemu hao. Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi wa

KAMPUNI YA SIMU YA TIGO YATAMBULISHA ZANA MPYA NA KUBORESHA ZANA YA TIGO PESA KWA WATUMIAJI WA SMARTPHONE


Na Dotto Mwaibale

 KAMPUNI  inayoongoza kwa mtindo wa maisha ya kidijitali Tigo Tanzania  leo imezindua zana ya kipekee, ya kibunifu na sahihi  ambayo inatoa njia rahisi  ya kununua vifurushi vya tigo, kuboresha akaunti za wateja, kuangalia salio na muhimu zaidi  kujiweka katika mkondo wa

BREAKING NEWZZ:AJALI YA YAUA WATU WANNE DODOMA


Watu wanne wakiwamo polisi wawili, wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupindua katika kijiji cha Seruka kata ya Chipogoro tarafa ya Rudi wilayani Mpwapwa mkoa wa Dodoma.

Ajali hiyo ilitokea Desemba 19, mwaka huu, saa 11:30 jioni katika kijiji hicho baada ya gari
 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU