ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA HOSTELI ZA WANAFUNZI KATIKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

Saturday, October 22, 2016


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kabla ya kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa Hosteli za Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi watatu kutoka (kulia), Waziri wa Elimu Sayansi Teknolojiana Mafunzo ya Ufundi Profesa Joyce Ndalichako wanne kutoka (kulia) watatu kutoka kushoto, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha

MJADALA WA MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI WAENDELEO MJINI DODOMA CHINI YA KAMATI YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII

Image result for bungeni


Na Mwandishi Wetu Dodoma
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii leo imekutana Mnini Dodoma na kuendelea na kuujadili Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari kwa kuendelea kupitia kifungu kwa kifungu katika Muswada huo.

Akifungua kikao hicho Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Peter Serukamba alisema

Rais Magufuli aagiza HESLB kuongeza kasi ya ukusanyaji wa madeni.


Na Beatrice Lyimo-MAELEZORais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli ameagiza Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu kutumia Sheria zilizopo kuongeza kasi ya

JB anusurika kifo katika ajili ya gari

bongo
Mwigizaji wa filamu na mtayarishaji, Jacob Stephen ‘JB’ Ijumaa hii amenusurika kifo katika ajali ya gari.
Mwigizaji huyo ambaye hivi karibuni alikuwa mkoani

Alichokizungumza Rais Magufuli kuhusu mikopo ya wanafunzi vyuo vikuu

Friday, October 21, 2016



Baada ya kuwepo kwa hatua mbalimbali za wanafunzi wa vyuo kudai ongezeko la fedha ya kujikimu na kupatiwa mkopo kwa wanafunzi ambao hawajapatiwa mikopo na baadae Wizara kuahidi kushughulikia suala hilo.
Leo October 21 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa

BREAKING NEWS:HAKUNA ALIETEGEMEA KUONA TUKIO HILI MKURUGENZI AMGOMEA WAZIRI MKUU NI BAADA YA KUPEWA MAAGIZO HAYA..

Thursday, October 20, 2016

AGIZO la Waziri Mkuu Majaliwa Kassim, kuwataka watendaji wa Serikali kutoa taarifa katika vyombo vya habari juu ya mipango ya maendeleo inayofanywa na serikali, limepuuzwa na Godwin Kunambi, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma, anaandika Dany Tibason.

Leo baada ya kumalizika kwa zoezi la usafi uliofanyika ili kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere,

'Proposed media services law raises fresh concerns among stakeholders'


MEDIA practitioners and other stakeholders have urged the government to give them more time to review the Media Services Bill of 2016 before it is tabled in parliament amid growing concerns that it will give the state draconian powers to muzzle the press and grossly undermine media freedom in Tanzania.
The country currently has the most dynamic media industry in east Africa in terms of outlet numbers and media concentration, but local journalists fear that

List ya wachezaji 30 wanaowania tuzo ya mchezaji bora Afrika na Samatta

Wednesday, October 19, 2016


Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta October 15 2016 amepokea good news iliyotangazwa na shirikisho la soka Afrika CAF, good news ya Samatta iliyopokelewa na watanzania ni kutokana na kutajwa katika list ya wachezaji 30 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa

Afande Sele kakubali kujiunga CCM ? kayaongea haya…

Ni October 15, 2016 ambapo msanii mkongwe kutoka Bongoflevani, Afande Sele aliingia kwenye headlines mitandao za kuhusu kuhamia CCM kutokana na

Zitto Atoa neno kuhusu ugomvi wa Lema na Rc Arusha


Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameamua kutoa ya moyoni kufuatia hali iliyojitokeza jana mkoani Arusha wakati wa

Mechi saba tu Yanga inapindua meza

Tuesday, October 18, 2016


Yanga inashika nafasi ya tatu Ligi Kuu ikiwa na pointi 15

WANASAYANSI HAWACHOKI, SASA WATUMA CHOMBO KINGINE CHA ANGA ZA JUU ILI KUTUA KATIKA SAYARI YA MARS


Chombo cha anga za juu cha Ulaya Schiaparelli kimefanikiwa kujitenga na "chombo mama" angani na kwa sasa kinaelekea kwenye sayari ya

Mahakama Yaitupilia Mbali Kesi Ya Mbowe Hotels Dhidi Ya Shirika La Nyumba La Taifa (NHC )


Mahakama kuu kitengo cha Ardhi imetupilia mbali kesi ya maombi ya kurejea katika jengo iliyokuwa ofisi ya Tanzania Daima pamoja na

'Walioiba' makontena waanza kujisalimisha

WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amesema tayari baadhi ya watu waliotorosha makontena bandarini bila kukaguliwa, wameitikia agizo lake la kuwataka kujisalimisha na kufanyika ukaguzi ili kujiridhisha bidhaa zilizokuwemo ndani ya makontena hayo.
Mwishoni mwa wiki, Mwijage alitoa siku nne kwa wafanyabiashara ambao wanadaiwa kutorosha makontena 100 bandarini, wajisalimishe Shirika la

SERIKALI KUUNDA TUME YA KITAALAMU YA KUFANYA MAPITIO MAKUBWA YA MFUMO WA ELIMU.

Monday, October 17, 2016

Mfumo wetu wa elimu kwa muda mrefu umeonesha udhaifu katika usimamizi, uendeshaji, udhibiti na ugharimiaji tangu Taifa letu lilipo amua kufanya ugatuzi wa madaraka, uliopelekea sekta ya elimu kuendeshwa chini ya wizara tatu tofauti.
Ili kufanya mabadiliko katika Elimu, Tuungane kuitaka serikali kuunda tume ya

Ratiba nzima ya ligi kuu tanzania bara msimu wa 2016/2017

Image result for yanga africans


Ukitaka kupata ratiba kutokana na mechi za karibu , matokeo , wafungaji wanaoongoza , msimamo wa ligi 
NGAO YA JAMII – 17 TH AUGUST,2016
Round 1 31.08.2016(Wed) 1 YOUNG AFRICANS Vs JKT RUVU MAIN NATIONAL STADIUM DAR ES SALAAM
20.08.2016(Sat) 2 KAGERA SUGAR Vs MBEYA CITY KAITABA KAGERA
20.08.2016(Sat) 3 SIMBA SC Vs NDANDA FC MAIN NATIONAL STADIUM DAR ES SALAAM
20.08.2016(Sat) 4 TOTO AFRICAN Vs MWADUI FC CCM KIRUMBA MWANZA
20.08.2016(Sat) 5 STAND UNITED Vs

Hatukuomba Kuja Bariadi, Hatuna Uwezo wa Kurudisha Fedha za Mwenge – Madereva


Madereva na wasidizi wa wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya mbalimbali waolikuwa tayari wameshafika mkoani Simiyu kwaajili ya kusherehekea kilele cha mbio za mwenge, wameeleza kuumizwa na agizo la Rais John Magufuli la kurejesha fedha za kujikimu.
Baadhi wamesema kuwa hawana uwezo wa kuzirejesha fedha hizo kwani hawakuwaomba kufanya safari hizo kwa kuwa ilikuwa sehemu ya

Maneno ya Diamond kwa Harmonize baada ya kushinda tuzo ya AFRIMMA

Tuzo za AFRIMMA ambazo hutolewa kila mwaka kwa Waafrika mbalimbali waliofanya vizuri kwenye sekta mbalimbali hasa za burudani, zimetolewaDallas Texas Marekani leo ambapo kwenye list yote Watanzania walioshinda ni watatu.
Watanzania walioshinda ni Dj D Ommy wa

BREAKING NEWS : RAIS MAGUFULI AAMURU WALIOLIPWA PESA ZA MWENGE WAZEREJESHE

Wednesday, October 12, 2016

Image result for rais magufuli

Habari kamili. Mwanafunzi wa shule ya sekondari Mbogamo Njombe amepigwa na walimu wake mpaka kupoteza fahamu



Na Erick Mlelwa,Njombe
Siku chache baada ya kuripotiwa taarifa za mwanafunzi kushambuliwa kupigwa na walimu katika shule ya Mbeya day jijini Mbeya tukio la aina hiyo limemkuta mwanafunzi mwingine wa shule ya sekondari ya Mbogamo ya mjini Njombe ambaye ameshambuliwa kwa kupigwa mpaka kupoteza fahamu na

Mwanafunzi wa shule ya sekondari Mbogamo Njombe amepigwa na walimu wake mpaka kupoteza fahamu



Siku chache baada ya kuripotiwa kw mwanafunzi kushambuliwa na

Merkel azindua jumba la Nyerere Addis Ababa

Jumba hilo limegharimu euro 27 milioni
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amezindua jumba jipya makao makuu ya Umoja wa Afrika ambalo limepewa jina la rais mwanzilishi wa taifa la Tanzania, Julius Nyerere.
Jumba hilo ambalo jina lake kamili ni Jumba la Amani na Usalama la Julius Nyerere limejengwa kwa ufadhili kutoka Ujerumani.
Litakuwa makao ya idara ya Amani na Usalama ya AU na

RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA NCHI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Tuesday, October 11, 2016


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Ukraine hapa nchini Yevhemsi Tsymbalik Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa

KAMPUNI YA KITANZANIA KUUNDA GARI LA KWANZA DESEMBA 2016: Wapanga kulizindua kabla ya Krismas mwaka huu


KAMPUNI ya Simba Motors imesema ina mpango wa kujenga kiwanda cha kuunganisha magari aina ya pick-up ambacho kitaanza kuzalisha magari kabla ya Desemba 30, mwaka huu.

Ahadi hiyo imetolewa leo mchana (Jumatatu, Oktoba 10, 2016) na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Bw. Jitesh Ladwa mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwake Magogoni, jijini Dar es Salaam.

“Tumeamua kuunda magari aina ya

MADIWANI ‘WAMTOSA’ LIPUMBA!


Uamuzi uliotolewa na Ukawa wa kutoshirikiana na Profesa Ibrahim Lipumba hautaathiri umoja huo wa vyama vya upinzani katika uchaguzi wa umeya wa manispaa za Dar es Salaam, baada ya madiwani wa CUF kumsusa.

Profesa Lipumba anatambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi kwamba ndiye mwenyekiti halali wa

SIKU YA MTOTO WA KIKE: TUJIFUNZE KUTOKA KATIKA KISA CHA MAYA



Katika kusheherekea siku ya mtoto wa kike kimataifa, ninawaletea kisa kifupi chenye mafunzo muhimu kwa wasichana wote duniani, kisa hichi ni cha MAYA.
Maya ni binti wa miaka 12 aishie na wadogo zake wawili wa

HABARI NZITO YA HVI PUNDE: HAKUNA ALIEAMINI HIKI KUTOKA KWA JPM RAIS MAGUFULI AFANYA MAAMUZI MAZITO BAADA YA VURUMAHI HILI ZITO LA MBUNGE HUYU...

Thursday, October 6, 2016

RAIS John Magufuli amemteua Mrisho Gambo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha (Mjini) kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na kumng’oa Felix Kijiko Ntibenda aliyekuwa akishikilia wadhifa huo,anaandika Charles William.
Gambo ambaye kwa muda wa mwezi mmoja sasa, amekuwa katika mgogoro na Godbless Lema, Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kutokana na kile kinachotajwa kuwa ni kuingiliana majukumu, amepandishwa wadhifa katika mazingira yanayoaminika kuwa, ni ya kimkakati zaidi.
Mwanzoni mwa mwezi huu, Lema na Gambo walishambuliana vikali mbele ya Seleman Jafo, Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), katika kikao cha

'Why Tanzanians remain poor despite rapid economic growth'


The bank cited Tanzania among a group of nations that have successfully reduced inequality significantly in recent years, but warned that if unequal distribution of the gains of economic growth continues, the goal of ending extreme poverty by 2030 may not be achieved. 
Tanzania, one of the ten fastest-growing economies in Africa, has made some modest gains in reducing inequality over the past two decades, but

HABARI NZITO USIKU HUU: LIPUMBA WA JANA SI BORA KULIKO LOWASSA WA LEO..

Lipumba-Lowassa
WAKATI Profesa Ibrahim Lipumba akiendelea kutumia jina la Edward Lowassa kama kinga ya usaliti wake dhidi ya CUF na UKAWA, baadhi ya wasomaji wa safu hii wameniuliza maswali kadhaa juu ya Lowassa, anaandika Ansbert Ngurumo. 
Nitajibu swali moja kwa mifano. Msomaji mmoja amesema: “Tafadhali naomba ujibu swali hili. Mimi ni Mkristo, naamini kauli za viongozi wangu wa dini. Nikiwa mfuasi wa Chadema, nimekuwa mtii kwa kauli na maagizo ya viongozi wangu. Viongozi wangu wakisema jambo hili ni baya, naamini. Niliwaamini Chadema walipotuambia kwamba Lowassa ni fisadi. Sasa walitumia kigezo gani kumpokea na kumteua agombee urais?”
Swali hili lilinikumbusha kauli ya Profesa Lipumba, aliyejivua uenyekiti wa CUF Agosti 2015 “kupinga hatua ya Chadema kumteua Lowassa kuwa mgombea urais kwa

BREAKING NEWS: HILI NDIO PIGO KALI LINALOITAFUNA CHADEMA BAADA YA KUFELI KWA OPARESHENI YA UKUTA...

ukuta
Uamuzi ni kifo au , unaweza kuleta faida au hasara, vilevile kujenga au kubomoa. Kila aina ya matokeo ni zao la uamuzi. Inategemea nini ambacho kiliamuliwa kisha kuleta matokeo husika.
Ustawi wa chama cha siasa ni matokeo ya ujenzi wa taasisi, vilevile uamuzi ambao viongozi wake hufanya. Vyama vingi vya siasa havipo hai leo hii kwa sababu ya uamuzi.
Uamuzi ili ulete matokeo chanya ni lazima uwe sahihi. Na

HII NDIO KAULI YA JOSEPH KABILA ILIYOMTOA RAIS MAGUFULI MACHOZI NI BAADA YA ISSUE HII NYETI KUWEKWA HADHARANI...

Rais Joseph Kabange Kabila amekuwa na mazungumzo na Rais Magufuli kabla ya kukutana na waandishi wa habari Ikulu Dsm leo.Katika mambo waliyoongea na kuwashirikisha waandishi wa habari ni ushirikiano wa kibiashara,ulinzi na Usalama pamoja na ujirani mwema.

Rais Kabila anasema baada ya maongezi na Rais JPM amejiridhisha sasa kuwa bandari ya Dsm ni salama na ataanza tena kupitisha mizigo yote ya DRC ktk bandari hii,ambayo kwa kipindi fulani walisitisha na kuanza kutumia kwingine kutokana na
 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU