Zito Kabwe
Mbowe siku zote amekuwa Kiongozi wangu na siwezi kubeza nafasi yake katika kujenga demokrasia nchini. Tulipishana. Tulikoseana. Tusameheane
Mimi binafsi siwezi kuwa mfungwa wa magomvi yetu ya miaka ya nyuma. Nilishasamehe walionikosea na kuomba radhi niliowakosea. #ForwardEver
No comments:
Post a Comment