ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

Taarifa ya spika Job Ndugai kuhusu Rais Magufuli kupitisha miswada mitano

Tuesday, September 6, 2016


September 6 2016 mkutano  wa nne wa Bunge la 11  umeanza  mkoani Dodoma ambapo wabunge wa pande zote wameshiriki mkutano huo unaoendelea hivi sasa ukiongozwa na
Spika wa bunge Job Ndugai ambaye alitumia nafasi hiyo kulijulisha bunge kuhusu Rais John Pombe Magufuli kuipitisha miswada mitano ya sheria iliyojadiliwa katika mkutano wa tatu wa bunge.
Lakini pia bunge limesoma muswada wa sheria ya upatikanaji wa taarifa ya mwaka 2016, mswada ambao ulisomwa na Waziri wa katiba na sheria Dk. Harisson Mwakyembeambapo bunge limeendelea kuujadili muswada huo unaotarajiwa kumalizika kesho September 7 2016.

No comments:

Post a Comment

 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU