ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

Licha ya kufungwa na Nigeria gavana katoa zawadi ya dola kwa Taifa Stars

Tuesday, September 6, 2016


September 3 2016 ni siku ambayo timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ilicheza mchezo wake wa mwisho wa kuwania kucheza michuano ya mataifa ya Afrika 2017 na timu taifa ya Nigeria katika uwanja wa Uyo uliyopo katika jimbo la Akwa Ibom State.
Katika mchezo huo ambao ulikuwa wa kukamilisha ratiba kwa
timu zote mbili Taifa Starswalifungwa goli 1-0 goli ambalo lilifungwa na nyota wa Man City Kelechi Iheanachodakika ya 77 ya mchezo baada ya kupiga shuti lililomshinda golikipa wa Tanzania Aishi Manula, licha ya kufungwa Taifa Stars walionesha uwezo mkubwa wa kupambana kiasi cha gavana wa jimbo hilo kuwapa zawadi.
Gavana wa jimbo la Akwa Ibom State alitoa zawadi ya dola 10000 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 21 kwa wachezaji wa Taifa Stars kutokana na uwezo waliouonesha, fedha hizo walipewa katika hafla ya chakula cha pamoja baada ya mchezo huo.
CHANZO: Shaffihdauda

No comments:

Post a Comment

 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU