ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

Rais Magufuli ateua msajili wa vyama vya siasa

Wednesday, June 20, 2018




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amemteua Bw. Mohammed Ali Ahmed kuwa Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Zanzibar.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Bw. Mohammed Ali Ahmed umeanza leo tarehe 20 Juni, 2018.

Kabla ya uteuzi huo Bw. Mohammed Ali Ahmed alikuwa mwanasheria na mtafiti katika Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar.

Bw. Mohammed Ali Ahmed amechukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Rajab Baraka Juma ambaye amestaafu.


No comments:

Post a Comment

 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU