ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

Prof. Lipumba Augomea mkutano wa Baraza Kuu la Uongozi CUF

Tuesday, September 27, 2016


Mgogoro ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) bado unafukuta ambapo jana Prof. Ibrahim Lipumba, aligomea mkutano wa Baraza Kuu la Uongozi la chama hicho ulioitishwa leo visiwani Zanzibar


Alisema, taarifa zilizotolewa kwa vyombo vya habari kuhusu kufanyika kwa mkutano huo hazitambui kwa kuwa,

NDEGE YA PILI YA BOMBARDIER Q-400 YAWASILI JIJINI DAR ES SALAAM LEO Today Deal $50 Off : https://goo.gl/efW8Ef



Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) ikitua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za

Rais Magufuli Apokea Msaada Wa Tsh.milioni 545 Kutoka Serikali Ya India Kwa Ajili Ya Waathirika Wa Tetemeko La Ardhi Lililotokea Mkoani Kagera



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 27 Septemba, 2016 amepokea msaada wa Shilingi Milioni 545 kutoka kwa Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi kwa ajili ya kusaidia wananchi wa Mkoa wa Kagera waliopatwa na maafa ya tetemeko la

IPTL wairuka benki ya Standard Chartered - Hong Kong

Sunday, September 25, 2016



Picha na Omari Fungo.

Kwa ufupi

  • Kampuni hiyo inaunga mkono hatua ya Tanesco kukata rufaa katika màhakama ya ICSID kwasababu hukumu iliyotolewa ina mapungufu mengi kisheria

MWALIMU NYERERE AENZIWE KWA VITENDO – NEC

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Kailima Ramadhani akiwasili nyumbani kwa familia ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Butiama Musoma akiwa ameambatana na watumishi wa NEC na baadhi ya wajumbe wa mkutano wa ALAT kutoka maeneo mbalimbali kuzuru kaburi la Baba wa Taifa, Mwitongo wilayani Butiama. Tume ya Taifa ya Uchaguzi iko mkoani Mara kutoa elimu ya mpiga kura kwa wananchi. 



Muongoza wageni wa maeneo ya historia nyumbani kwa Baba wa Taifa, Mwitongo Butiama Bi. Gaudensia Waziri akitoa maelezo kwa

RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI KUADHIMISHA SIKU YA 19 YA BWANA KANISA LA PENTEKOSTE LA MTAKATIFU ALBANO JIJINI DAR


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpatia Bw. Charles Mang'enya shilingi milioni kama zawadi kwa vikundi vya

OKTOBA MOSI NI SIKU YA MATUKIO KIBAO IKIWEMO TUKIO LA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAZEE DUNIANI

Friday, September 23, 2016


Dar es Salaam. Wakati zikiwa zimebaki siku nane kufikia Oktoba Mosi ambayo imetangazwa kuwa siku ya kupanda miti, Shirika la

Kikwete Atunukiwa Tuzo Ya Uongozi Wa Kisiasa Na Utetezi


Na  Mwandishi Maalum, New York

Shirika lisilo la  Kiserikali    la Speak  Up for Afrika    limemtunukia tuzo, Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kutokana na uongozi wake wa kisiasa na utetezi wake  kwa  makundi ya jamii yaliyo katika mazingira magumu hususani wanawake na watoto.
 
Utoaji wa  Tuzo hiyo  ya

BREAKING NEWS:KIVUMBI KIMEWAKA MAWAZIRI 7 WA RAIS MAGUFULI WAKUTANA NA RUNGU ZITO LA John Pombe Magufuli

Sunday, September 18, 2016

Mawaziri hao huenda miongoni mwao wakajikuta katika hatari ya kukabiliana na rungu zito la Rais John Magufuli, ambaye alishasisitiza mara kadhaa kuwa daima huwa hana subira na watu wanaokwenda kinyume cha taratibu za uongozi, ikiwamo kuwatumbua bila kujali majina yao. 
Tishio hilo la hatima ya baadhi ya mawaziri katika serikali ya sasa ya awamu ya tano, linatokana na kile alichokieleza jana Spika wa Bunge, Job Ndugai, kuwa

Msafara wa Makamu wa Rais, Samia Suluhu wapata ajali Mtwara.

Saturday, September 10, 2016

Msafara wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Mama Samia Suluhu Hassan ambao ulikuwa unaelekea Wilayani Tandahimba ukitokea Ikulu ndogo ya Rais ,mkoani Mtwara, umepata ajali na kusababisha majeruhi ambao wamekimbizwa hospitali ya

MCT YAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUPAMBANA NA RUSHWA NA UBADHIRIFU

Tuesday, September 6, 2016


Wapili kutoka kushoto mstari wa kwanza ni mkurugunzi wa chuo cha uandishi wa habari cha Eckros Ndugu Erick Mlelwa

BARAZA la Habari Tanzania (MCT) limeipongeza serikali ya Rais John Magufuli kwa jitihada zake za kupambana na rushwa pamoja na ubadhirifu na kusema inapaswa kuungwa mkono na kila mmoja na pia vyombo vya habari. 

Katibu Mtendaji wa MCT, Kajubi Mukajanga alitoa pongezi hizo jana wakati wa

BENKI YA CRDB YAZINDUA KADI ya Kimataifa ya ‘TembocardVisa Infinite’


Kutoka kushoto ni Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson, Mkuugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa na Mkuu wa Wilaya ya Iringa mjini, Richard Kasesela wakicheza Kwaito wakati wa hafla hiyo.

NA ZAWADI CHOGOGWE

BENKI ya CRDB imezindua kituo cha kisasa kwa ajili ya kuhudumia wateja wakubwa kijulikanacho Premier Club katika jengo la Viva Tower.

Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Dk. Charles Kimei alisema Benki hiyo,imeamua kuzindua huduma hiyo pamoja na kadi maalum ya TemboCard Visa Infinite kwa

Licha ya kufungwa na Nigeria gavana katoa zawadi ya dola kwa Taifa Stars


September 3 2016 ni siku ambayo timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ilicheza mchezo wake wa mwisho wa kuwania kucheza michuano ya mataifa ya Afrika 2017 na timu taifa ya Nigeria katika uwanja wa Uyo uliyopo katika jimbo la Akwa Ibom State.
Katika mchezo huo ambao ulikuwa wa kukamilisha ratiba kwa

Taarifa ya spika Job Ndugai kuhusu Rais Magufuli kupitisha miswada mitano


September 6 2016 mkutano  wa nne wa Bunge la 11  umeanza  mkoani Dodoma ambapo wabunge wa pande zote wameshiriki mkutano huo unaoendelea hivi sasa ukiongozwa na
 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU