ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

OFA MAALUM KWA WATANZANI KIJANA CHANGAMKIA

Monday, July 30, 2018

Mkuu wa chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji ECKROSkilichopo mkoa wa NJOMBE anayo furaha kuwa julisha wale wote walio hitimu kidato cha nne kuwa chuo kinapokea maombi kwa ajili ya kujiunga na kozi zifuatazo:-
1.   Uandishi wa Habari na Utangazaji  (Radio na TV)

Man U waanza mazoezi Miami baada ya kupata kichapo kutoka kwa Liverpool

BAADA ya kipigo cha mabao 4-1 kutoka kwa Liverpool, katika michezo ya kimataifa iliyofanyika huko

Rais Magufuli Kuhamia Dodoma Mwaka Huu

Rais John Magufuli amesema atahamia jijini Dododma kabla mwaka huu haujamalizika kama alivyoahidi serikali yake kuhamia huko.

Mugabe amtosa Mnangangwa, asema kura yake anaipeleka upinzani

Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe amesema hamuungi mkono mrithi wake Rais wa sasa Emmerson Mnangagwa ndani ya chama tawala Zanu PF, kwa kile alichodai kuondolewa kwa nguvu madarakani na chama alichokianzisha.

House Boy Amchinja Mtoto Wa Bosi Wake Kisa Kumuomba Mua

Thursday, July 5, 2018

Jeshi la polisi mkoani Iringa, linamshikilia mfanyakazi wa ndani wa kiume, kwa tuhuma za kumchinja mtoto wa bosi wake kisa kuombwa kipande cha mua alichokuwa anakula mfanyakazi huyo.

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU