ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII AHITIMISHA MAFUNZO YA JESHI USU KWA WAHIFADHI WA WANYAMAPORI 103

Wednesday, February 1, 2017


Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi ( katikati) akizungumza na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu TANAPA, Mtango Mtaiko ( wa kwanza kushoto) akiwa pamoja na Mkufunzi wa Mafunzo wa TANAPA, John Nyamhanga mara baada ya
kuwasili kwa ajili ya kufunga mafunzo ya wahifadhi wa wanyamapori 103 kutoka TANAPA, TAWA na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro yaliyofanyika jana katika kituo cha mafunzo cha Mlele mkoani Katavi. Wengine ni Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa, Rachel Kasanda ( wa pili kushoto) pamoja na viongozi wa taasisi.\

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi akikagua gwaride wakati wa kufunga mafunzo ya jeshi Usu kwa wahifadhi wa wanyamapori 103 kutoka TANAPA, TAWA na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro yaliyofanyika jana katika kituo cha mafunzo cha Mlele mkoani Katavi. Wengine ni Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa, Rachel Kasanda ( wa pili kushoto) pamoja na viongozi wa taasisi.

Paredi ikipita mbele ya mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi ( hayupo pichani) wakati wa kufunga mafunzo ya jeshi Usu kwa wahifadhi wa wanyamapori 103 kutoka TANAPA, TAWA na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro yaliyofanyika jana katika kituo cha mafunzo cha Mlele mkoani Katavi.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi ( wa katikati) akiwa amesimama kiukakamu wakati Paredi ikipita mbele yake( haipo pichani ) kabla kufunga mafunzo ya jeshi Usu kwa wahifadhi wa wanyamapori 103 kutoka TANAPA, TAWA na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro yaliyofanyika jana katika kituo cha mafunzo cha Mlele mkoani Katavi.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi ( wa kwanza kushoto) mara baada kufunga mafunzo ya jeshi Usu kwa wahifadhi wa wanyamapori 103 kutoka TANAPA, TAWA na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro yaliyofanyika jana katika kituo cha mafunzo cha Mlele mkoani Katavi. Wengine ni Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa, Rachel Kasanda ( wa pili kushoto) Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu TANAPA, Mtango Mtaiko ( wa tatu kushoto) pamoja na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAWA, David Kanyatta ( wa pili kulia) pamoja na Naibu Mhifadhi Mkuu Ngorongoro, Dkt. Maulusi Msuha ( wa kwanza kulia).

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi akizungumza wahifadhi wa wanyamapori 103 kutoka TANAPA, TAWA na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kabla ya kufunga mafunzo ya jeshi Usu yaliyofanyika jana katika kituo cha mafunzo cha Mlele mkoani Katavi.

No comments:

Post a Comment

 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU