ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

BREAKING NEWS: HII NI KUFURU YA MWAKA MH LOWASSA AFANYA TUKIO LA AINA JIJINI MBEYA UMATI WAFURIKA KWA MAYOWE BAADA YA KUMWAGA ILIYOKUWA SIRI NZITO YA SERIKALI...

Thursday, August 25, 2016



Leo nimezunguka katika majimbo ya Mbeya Vijijini ,Vwawa na Tunduma nikiwaeleza kuhusu Operation UKUTA,UKUTA si fujo , UKUTA si machafuko na hatuna haja ya kufanya fujo , tunapiga kelele dhidi ya uvunjwaji wa haki ya kidemokrasia na

HABARI YA HIVI PUNDE: WAALIMU WAPYA WALIOPO NYUMBANI SASA KUNEEMEKA KWA AJIRA


KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa imeomba Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imuombe Rais atoe kibali cha ajira kwa walimu kukabili uhaba unaoikabili nchi.

Mwenyekiti wa kamati hiyo, Jasson Rweikiza alitoa ushauri huo jana mjini Dodoma kwenye kikao kati ya wajumbe wa kamati hiyo na

BREAKING NEWS: HII NI HABARI NZITO HILII NI TAMKO ZITO KUWAHI KUTOKEA NCHINI CUF SASA KUFA KIFO CHA MENDE NA SAKATA HILI ZITO...

Monday, August 8, 2016

Twaha Issa Taslima, Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi Taifa ya Chama cha Wananchi (CUF)  (Wakwanza), na Abubakar Hamisi  Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya uongozi CUF taifa.
CHAMA cha Wananchi (CUF) ni kama kipo kuzimu. Kimelegea, kimechuja na kwa sasa kimegota,anaandika Faki Sosi.
CUF ya Prof. Ibrahim Lipumba, aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho taifa kabla ya kujiweka pembeni, si hii inayoongozwa na Twaha Taslima ambaye amebeba mikoba ya uenyekiti kwa ‘dharura’.
Wapo wanaochekelea kuiona CUF ya sasa ikikosa miguu ya kusimama, ikipoteza mvuto na mvumo wake katika siasa za nchini hii.
Wapo wanaotamani CUF ifutike leo kesho, wapo wanaovutiwa na mwenendo wa kuchechemea wa CUF kwa sasa lakini pia wapo wanaotamani Taslima awe mwenyekiti wa

Rais wa Sao Tome na Principe asusia uchaguzi

Pinto da Costa
Katika hatua ya kushangaza, kiongozi wa visiwa vya Sao Tome na Principe, mojawapo ya mataifa madogo zaidi barani Afrika, amesusia awamu ya pili ya uchaguzi nchini humo.
Rais Manuel Pinto da Costa amesema uchaguzi huo hauwezi kuwa

RAIS MAGUFULI ASALI KANISA LA BIKIRA MARIA PAROKIA YA CHATO, ATEMBELEA KANISA LA ANGLIKANA, AIC PAMOJA NA MSIKITI WA OMAR BIN-L-KHATTAB CHATO!



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiimba wimbo wa Amani pamoja na Kwaya ya Kanisa la

NAIBU WAZIRI WA AFYA DR HAMIS KIGWANGALLA : 'SIKUSOMA HIGH SCHOOL NA NDG. JUMA MWAKA.

post-feature-image

Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla
-----

Kuna baadhi ya magazeti na mitandao imekuwa ikiandika kuwa Dkt. Kigwangalla amesoma high school na aliyekuwa 'Tabibu', Ndg. Juma Mwaka, shule ya Kigoma Sekondari na kwamba walikuwa marafiki; hizi ni habari za uongo, za kupika zenye kupotosha ukweli ili kuwaaminisha watu kuwa

KIWANJA CHA NDEGE DODOMA KUKAMILIKA MWISHONI MWA AGOSTI

dod7

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiwa katika picha ya pamoja na mafundi wanaokarabati na kufanya upanuzi wa kiwanja cha ndege cha Dodoma wakati alipokagua kiwanja hicho.
Imeelezwa kuwa

Waziri Mkuu Aitaka Tra Kuacha Tabia Ya Kuwapandishia Wafanyabiashara Kodi Kiholela


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania kuimarisha kitengo cha tathmini ili kuweka viwango halali ambavyo havitawagandamiza wafanyabiashara na uwepo uwazi kuhusu viwango stahili vya kodi wanavyotakiwa kulipa.

Waziri Mkuu alitoa agizo hilo jana jioni (Jumapili, Agosti 07, 2016) wakati alipozungumza na viongozi wa mikoa ya Mbeya, Katavi, Songwe, Rukwa, Ruvuma, Iringa na Njombe mara baada ya kuwasili mkoani Mbeya kwa ajili ya kufunga maadhimisho ya maonyesho ya nane nane kwa mikoa ya

Njombee patawaka moto ndani ya ukumbi wa TURBO

Saturday, August 6, 2016


GEMU LINGINE LA KUKATA NA SHOKA BARANI ULAYA, NI LIVERPOOL NA BARCELONA NDANI YA WEMBLEY LEO

KUELEKEA ukingoni mwa Michuano ya kirafiki ya Kimataifa (ICC), Jioni ya leo ndani ya dimba la Wembley jijini London, takribani watazamaji 90,000 wanadhamiwa kukaa vitini kuutazama mtanange mkali wa kukata na shoka kati ya majogoo wa jiji Liverpool na mabingwa wa Laliga Fc Barcelona. Mpambano huu unawakutanisha mabingwa wa Ulaya mara 5 kila moja. 

Timu hizi mbili zimewahi kukutana katika mchezo wa

Mabasi ya Dar Mbeya, Mwanza Sasa Kuchukua Siku Mbili Njiani Badala ya Siku Moja. Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ

Waliozoea kusafiri kwa mabasi kwa siku moja kutoka Dar es salaam kwenda Mbeya na kutoka Dar es salaam kwenda

YANGA ‘WAMPA’ MANJI TIMU KWA MIAKA 10 Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WANACHAMA wa Yanga wamekubali kumkodisha klabu hiyo Mwenyekiti wao, Yusuf Manji kwa miaka 10 kuanzia leo. Uamuzi huo umefikiwa katika Mkutano Mkuu wa dharula uliofanyika leo ukumbi wa
 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU