ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

Mavoko, Alikiba, Juma Nature na wengine kuchuana kwenye mechi ya soka na watangazaji wa EFM Jumapili hii

Thursday, June 30, 2016

Rich Mavoko, Alikiba na Juma Nature ni miongoni mwa mastaa wa Bongo Flava watakaochuana kwenye mtanange wa soka Jumapili hii dhidi ya watangazaji wa kituo cha redio cha EFM.
Mechi
Mechi hiyo itachezwa Jumapili hii, June 26 kuanzia saa kumi jioni kwenye viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam.
Wasanii wengine watakaovaa jezi za Bongo Flava kwenye mechi hiyo ni pamoja na

POLISI YASHIKILIA WATANO KWA KUNAJISI NA KUUA MTOTO-ARUSHA Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ


POLISI mkoani hapa inawashikilia watu watano kwa tuhuma za kumuua mtoto wa miaka minne baada ya kumnajisi na kumvunja shingo Jumatatu iliyopita. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Yusuf Ilembo, alisema wanawashikilia watu hao ambao majina yao hakuyataja na upepelezi utakapokamilika watafikishwa mahakamani. Ilembo alisema tukio hilo lilitokea Juni 20, saa 3:30 usiku kwenye makaburi ya Baniani yaliyoko Kata y

Usipodai risiti jela miaka mitatu

18%: Kiwango cha VAT 
kinachopendekezwa katika huduma za utalii zikihusisha uendeshaji wa watalii, utazamaji wanyama na ndege wa porini.

Sh29.5 trilioni: Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2016/17

Kutotoa risiti au kutodai adhabu yake ni kifungo cha miaka mitatu

Adhabu nyingine inaweza kuwa kulipa Sh3 milioni au Sh4.5 milioni

Wafanyabiashara wanatakiwa kutoa risiti kutoka kwenye mashine za

POLISI YASHIKILIA WATANO KWA KUNAJISI NA KUUA MTOTO-ARUSHA Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ

Thursday, June 23, 2016


POLISI mkoani hapa inawashikilia watu watano kwa tuhuma za kumuua mtoto wa miaka minne baada ya kumnajisi na kumvunja shingo Jumatatu iliyopita. Kaimu Kamanda wa

Usipodai risiti jela miaka mitatu


18%: Kiwango cha VAT 
kinachopendekezwa katika huduma za utalii zikihusisha uendeshaji wa watalii, utazamaji wanyama na ndege wa porini.

Sh29.5 trilioni: Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2016/17

Kutotoa risiti au kutodai adhabu yake ni kifungo cha
 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU