ECKROS SCHOOL OF JOURNALISM

eckroscollege. Powered by Blogger.

Blogroll

About

Habari za Mahusiano Kila siku

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

JOURNALISM STUDENTS AT ETC COLLEGE

ETC RADIO ONLINE LIVE

http://wwweckrosnewsblogspo.radio12345.com/

Rose Tweve kuhusu matarajio ya Bajeti Kuu 2017/18

Saturday, June 17, 2017



Kubwa linaloendelea Bungeni Dodoma ni Wabunge kuendelea kuchangia mapendekezo yao katika Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti Kuu ya

Trump akiri kwamba anachunguzwa Marekani

Donald TrumpHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionDonald Trump amekana tuhuma kwamba maafisa wake walishirikiana na maafisa wa Urusi
Rais wa Marekani Trump amethibitisha kwamba anachunguzwa yeye binafsi kutokana na hatua yake ya kumfuta kazi mkuu wa Shirika la Uchunguzi wa Jinai la Marekani FBI James Comey.
Kupitia Twitter, Bw Trump amekariri kwamba uchunguzi unaoongozwa na

Emanuele Palladino:Muacheni Tiote apumzike

Tiote aling'ara vyema akiwa Newcastle
Image captionTiote aling'ara vyema akiwa Newcastle
Wakala wa aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya soka ya Ivori Coast na klabu ya Beijing Enterprises nchini China, Cheick Tiote aliyefariki dunia wiki iliyopita Emanuele Palladino amewataka waandishi wa

Cristiano Ronaldo 'anataka kuihama' Real Madrid juu ya kodi

Cristiano Ronaldo

Nyota wa klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo amekereka sana baada ya tuhumiwa kwamba alifanya ulaghai wakati wa ulipaji ushuru na anataka kuihama klabu hiyo, duru zimeiambia BBC.
Waendesha mashtaka nchini Uhispania wanamtuhumu Ronaldo, 32, kwa kutumia ulaghari kutolipa mamilioni ya

RAIS MAGUFULI KUOMBEWA DUA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO



Rais Dk John Magufuli.

Na Juma Mtanda, Morogoro.
Viongozi mbalimbali wa dini, vyama vya siasa na serikali wanatarajia kukusanyika kwenye ibada maalumu ya kumuombea dua njema, Rais Dk John Magufuli kutokana na hatua anazochukua dhidi ya wabadhirifu wa rasilimali za nchi inayofanyika leo saa 4 asubuhi uwanja wa

 

Most Reading

Eckros Computer Lap 1

Eckros Computer Lap 1

About ETC College

Eckros Tourism College (ETC) started admitting the first intake of students in January 2013. The college falls under tertiary higher education and training as stipulated in education and training policy of 1995.
Also the college administer Distance Learning Programmes, Evening classes, weekend classes, study tours and researchs programmes
Admission Process
New admission into the College is effected twice a year in January-July and July-December.

WALIO PITIA BLOG YETU