
January 1 2016 timu ya Simba ilicheza mchezo wake wa
kwanza wa Kombe la Mapinduzi 2017 dhidi ya timu ya Taifa Jang’ombe katika uwanja wa Amaan Zanzibar, katika mchezo huo Simba walifanikiwa kupata ushindi wa goli 2-1. Baada ya mchezo kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja aliongea na waandishi wa habari.
No comments:
Post a Comment