Siku chache baada ya kuripotiwa kw mwanafunzi kushambuliwa na
kupigwa na walimu katika shule ya mbeya day tukio la aina hiyo limemkuta mwalimu mwingine wa shule ya sekondari Mbogamo ambapo mwanafunzi amepigwa na kulazwa katika hospitali ya mkoa wa njombe.
Mwanafunzi huyo Elizabeth Simfukwe wa kidati cha nne anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 19 inadaiwa kufanyiwa kitendo hicho cha ukatili tangu oktoba 6 mwaka huu ambapo adhabu hiyo ameipata baada ya kukutwa na simu ya mkononi katika begi lake ambayo ni kinyume na sheria ya shule.
Taarifa kamili itakujia hapo baadae
No comments:
Post a Comment