Yanga inashika nafasi ya tatu Ligi Kuu ikiwa na pointi 15
baada ya kucheza mechi nane na imebakisha mechi saba katika mzunguko wa kwanza ambazo itazicheza ndani ya siku 22 tu kuanzia kesho Jumatano itakapocheza na Toto Africans jijini Mwanza.
Hapa kazi tu ni kauli mbiu ya Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa habari za kitaifa, Kimataifa, Uchumi, Michezo na Burudani
No comments:
Post a Comment