
Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea leo kwa michezo miwili kuchezwa Simba walicheza dhidi ya Ruvu Shooting uwanja wa Uhuru Dar es Salaam na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 goli ambalo lilifungwa na Mohamed Ibrahim wakati wa dakika za
Hapa kazi tu ni kauli mbiu ya Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa habari za kitaifa, Kimataifa, Uchumi, Michezo na Burudani
Na Beatrice Lyimo-MAELEZORais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli ameagiza Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu kutumia Sheria zilizopo kuongeza kasi ya
Gambo ambaye kwa muda wa mwezi mmoja sasa, amekuwa katika mgogoro na Godbless Lema, Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kutokana na kile kinachotajwa kuwa ni kuingiliana majukumu, amepandishwa wadhifa katika mazingira yanayoaminika kuwa, ni ya kimkakati zaidi.
Nitajibu swali moja kwa mifano. Msomaji mmoja amesema: “Tafadhali naomba ujibu swali hili. Mimi ni Mkristo, naamini kauli za viongozi wangu wa dini. Nikiwa mfuasi wa Chadema, nimekuwa mtii kwa kauli na maagizo ya viongozi wangu. Viongozi wangu wakisema jambo hili ni baya, naamini. Niliwaamini Chadema walipotuambia kwamba Lowassa ni fisadi. Sasa walitumia kigezo gani kumpokea na kumteua agombee urais?”