OMBENI SEFUE.
KATIBU MKUU MPYA: Rais John Magufuli amemteua Balozi Mhandisi John Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Kijazi aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini India, anachukua nafasi ya Balozi Ombeni Sefua ambaye atapangiwa kazi nyingine.
Ikulu yatangaza leo kwa umma.

No comments:
Post a Comment