Uamuzi ni kifo au , unaweza kuleta faida au hasara, vilevile kujenga au kubomoa. Kila aina ya matokeo ni zao la uamuzi. Inategemea nini ambacho kiliamuliwa kisha kuleta matokeo husika.
Ustawi wa chama cha siasa ni matokeo ya ujenzi wa taasisi, vilevile uamuzi ambao viongozi wake hufanya. Vyama vingi vya siasa havipo hai leo hii kwa sababu ya uamuzi.
Uamuzi ili ulete matokeo chanya ni lazima uwe sahihi. Na





